#HakiKwaWakimbizi
Wanawake wakimbizi hukutana na changamoto mara mbili – “Ukimbizi” na “Ukatili”. CIVISCE tunasimama na kila mwanamke Nyarugusu anayedai usalama na haki.
#HakiKwaWakimbizi #TokomezaUkatili
November 28, 2025 at 7:28 AM