#Jinsi
Not sure how else to share this:
github.com/JinsiDraws/j...

If you are interested in what font I use for my comics. Its a modified Gochi Hand font. It uses an Open Font License so feel free to modify it yourself and use liberally :3
GitHub - JinsiDraws/jinsi-paw: A hand-lettered comic font based on Gochi Hand.
A hand-lettered comic font based on Gochi Hand. Contribute to JinsiDraws/jinsi-paw development by creating an account on GitHub.
github.com
October 8, 2026 at 1:42 PM
🔴 HABARI MPYA - Tuzo ya Nobel katika Tiba imetolewa kwa Karl Deisseroth, Peter Hegemann na Georg Nagel
Tuzo ya Nobel katika Tiba imetolewa kwa Karl Deisseroth, Peter Hegemann na Georg Nagel
Karl Deisseroth, Peter Hegemann, na Georg Nagel walipewa tuzo hiyo "kwa uvumbuzi wao kuhusu njia za ioni zinazohisi mwanga na optogenetics," njia inayoonyesha jinsi seli za neva zinavyounda kumbukumbu,…
rfi.my
October 5, 2026 at 10:03 AM
Katiba nzuri haipimwi kwa jinsi inavyomlinda aliye madarakani, bali kwa jinsi inavyomlinda mwananchi wa kawaida: mkulima, mvuvi, mfanyabiashara mdogo, mwanafunzi na mama lishe. Hao ndio wamiliki halali wa Katiba hii. Sauti yao ndiyo iongoze mchakato huu wote muhimu. #KatibaMpya
October 3, 2026 at 6:15 AM

Watu walioathirika wanapaswa kuwa na haki ya kupata msaada wa kisheria bure. Wengi hawakujua haki zao, hawakujua jinsi ya kupinga tathmini, na hawakuwa na uwezo wa kumlipa wakili. Haki isiyofikika si haki kwa mwananchi wa kawaida. Msaada wa kisheria ni muhimu. #EACOPniTishio
October 3, 2026 at 6:00 AM

Faida ya mafuta inakwenda wapi? Wananchi walioathirika moja kwa moja hawajaonyeshwa jinsi watakavyonufaika kwa muda mrefu. Kama gharama zinabebwa na jamii za vijijini na faida inakwenda mbali, huo ni ukosefu wa haki wa wazi kabisa. Faida iwafikie wenyeji kwanza. #EACOPniTishio
October 3, 2026 at 5:31 AM

Bomba la EACOP ni la mafuta yanayopashwa joto ili yatiririke. Teknolojia hii ina hatari zake za kipekee kabisa. Wananchi wanaoishi kando ya bomba wanapaswa kuelezwa kwa lugha rahisi jinsi linavyofanya kazi, hatari zake halisi na jinsi wanavyolindwa dhidi yake. #EACOPniTISHIO
September 25, 2026 at 6:37 AM

Fidia si zawadi, ni haki. Kila mwananchi anapaswa kuelezwa mapema jinsi thamani ya ardhi, nyumba na mazao yake ilivyokokotolewa, viwango vilivyotumika na tarehe ya malipo. Kupewa hundi bila maelezo yoyote si uwazi, ni kumlazimisha mtu kukubali bila kuelewa. #EACOPniTISHIO
September 24, 2026 at 6:15 AM

Ibara ya 8(1) ya Katiba inasema wananchi ndio msingi wa mamlaka yote ya Serikali, na Serikali itawajibika kwa wananchi. Lakini kwa miongo kadhaa mamlaka hayo yamehamia mikononi mwa chama na dola. Uzi huu unaeleza kwa kina jinsi CCM ilivyoyamega mamlaka ya wananchi. #Katibampya
September 21, 2026 at 4:47 AM

Uwazi wa taarifa ni haki ya kikatiba. EACOP wanapaswa kuchapisha, kwa lugha za wenyeji, jinsi malalamiko yanavyoshughulikiwa. EOCOP hawajibu mawasiliano yoyote wanayopelekewa ikiwa ndio silaha pekee waliyonayo kuiba haki za wananchi #EACOPniTishio
September 15, 2026 at 6:26 AM

Muundo wa kikatiba una uhusiano wa moja kwa moja na maisha ya kiuchumi ya kila siku — jinsi mapato ya rasilimali za Taifa yanavyogawanywa, jinsi bajeti za wilaya na mikoa zinavyoamuliwa, na nani anayewajibika kwa maendeleo ya eneo lako. #KatibaMpya
September 15, 2026 at 5:18 AM

しかし、飛行機や車の仕組みなど、何か面白いことを学びたいなら、どのように学びたいかを考える必要がある。

(Lakini ukitaka kujifunza jambo la kuvutia, kama vile jinsi ndege au magari yanavyofanya kazi, unahitaji kufikiria jinsi unavyotaka kujifunza.)
September 13, 2026 at 10:28 PM
Ripoti za mashirika kama Human Rights Watch zimeonyesha jinsi baadhi ya familia zililazimika kuhama bila taarifa za kutosha wala fidia ya haki. Je, huu ni maendeleo au unyang'anyi uliopambwa? #EACOPniTishio
September 9, 2026 at 6:28 AM

Wakulima wengi wa Hoima hadi Tanga wamepoteza ardhi yao kwa fidia ndogo isiyolingana na thamani halisi ya mali zao. Hatua hii inaonyesha jinsi mradi ulivyowekwa mbele ya haki za binadamu. #EACOPniTishio
September 9, 2026 at 6:25 AM