#Michezo
September 26, 2023 at 2:35 AM
🔥 DR. CHEMICAL AMJIBU MWIJAKI: “KUWA PUBLIC FIGURE NI WAJIBU, SI UMAARUFU TU!”

📲 IBRAAH TECH ONLINE MEDIA
Habari • Burudani • Michezo • Teknolojia • Matukio

#IbraahTechOnlineMedia #DrChemical #Mwijaki #PublicFigure #PublicInfluencer #Influencers #SocialMedia #Tanzania #Trending #Habari
August 17, 2026 at 2:49 PM
Hujambo wabunifu! 🌍 Kuanza michezo ni rahisi na Godot—demo kama Truck Town inaweza kuchezwa kivinjari! Angalia vidokezo: edoga.biz.hr/sw/mbinu-yan... VOD ziko! #MaendeleoYaMichezo #Kiswahili #MbunifuAfrika
Mbinu Yangu ya Mwanzo katika Maendeleo ya Mchezo kama Mtiririshaji wa Burudani ya Elimu - SLATE
Kuanza safari ya maendeleo ya mchezo kunaweza kuhisi kuwa nyingi. Niliamua kuiweka rahisi, ya kufurahisha, na ya uwazi. Lengo langu ni kujifunza wakati
edoga.biz.hr
September 20, 2025 at 6:38 AM
Nimeanza kuhisi kama maisha yako sawa na mambo yataenda vyema. Nilipoamka leo nilihisi huzuni kwani akili yangu ilinichezesha michezo. Lakini baada ya kutizama na kuweza kuona watu wengine na shida kama yangu, nimefurahia kujua siugui pekee yangu na kuna suluhisho kwa tatizo zangu.
September 4, 2026 at 5:47 AM
ANTONIO RÜDIGER ASTAAFU TIMU YA TAIFA BAADA YA MIAKA 12

Beki wa Real Madrid, Antonio Rüdiger, ametangaza kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Ujerumani baada ya kuitumikia kwa kipindi cha miaka 12. Rüdiger, mwenye umri wa miaka 33, alianza kuitumikia timu ya taifa ya Ujerumani mwaka 2014 na…
ANTONIO RÜDIGER ASTAAFU TIMU YA TAIFA BAADA YA MIAKA 12
Beki wa Real Madrid, Antonio Rüdiger, ametangaza kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Ujerumani baada ya kuitumikia kwa kipindi cha miaka 12. Rüdiger, mwenye umri wa miaka 33, alianza kuitumikia timu ya taifa ya Ujerumani mwaka 2014 na ameichezea michezo kadhaa katika mashindano makubwa ya kimataifa. Katika kipindi chake akiwa na timu ya taifa, beki huyo amekuwa miongoni mwa wachezaji muhimu wa Ujerumani, akiwakilisha nchi hiyo katika mashindano mbalimbali makubwa. Kustaafu kwake kunaashiria mwisho wa safari ya miaka 12 katika soka la kimataifa, huku akitarajiwa kuendelea na majukumu yake ya soka katika klabu ya Real Madrid.
dreamstz.net
September 2, 2026 at 1:08 PM
🚨⚽RONALDINHO ATUA ITALIA KUELEKEA UTAMBULISHO WAKE RAVENNA

Nyota wa zamani wa Brazil, Ronaldinho ametua nchini Italia kuelekea hafla ya kutambulishwa kwake rasmi katika klabu ya Ravenna miaka 11 baada ya kustaafu soka la ushindani
📲 BRAAH TECH ONLINE MEDIA
Habari • Michezo • Teknolojia • Burudani
August 21, 2026 at 12:28 PM
Diwani wa Kata ya Majengo ambaye pia ni Naibu Meya wa Manispaa ya Mtwara Mikindani ameshiriki kama **Mgeni Rasmi** katika sherehe za Mahafali ya Darasa la Saba yaliyofanyika katika Shule ya Msingi Majengo.

📲 **IBRAAH TECH ONLINE MEDIA**
**Habari • Michezo • Teknolojia • Burudani**
August 21, 2026 at 10:00 AM
📢🏥 **HUDUMA ZA MADAKTARI BINGWA KUPATIKANA SINGIDA KWA GHARAMA NAFUU**

🎯 **AFYA YAKO NI WAJIBU WAKO!**

📲 **IBRAAH TECH ONLINE MEDIA**
**Habari • Michezo • Teknolojia • Burudani**
August 20, 2026 at 5:10 AM
🏆⚽ TIMU YA REDE MTWARA QUEENS YAOMBA WADHAMINI NA WAFADHILI

Timu ya REDE Mtwara Queens imefanya wito kwa wafanyabiashara, kampuni, taasisi na wadau mbalimbali kujitokeza kuwa wadhamini na wafadhili wa timu hiyo.

📲 IBRAAH TECH ONLINE MEDIA
Habari • Michezo • Teknolojia • Burudani
August 19, 2026 at 6:12 PM
🚨 MANISPAA MTWARA-MIKINDANI YATOA NOTISI YA SIKU 14 LITINGI

Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani imewapa notisi ya siku 14 wananchi walioishi na kujenga bila vibali eneo la Litingi, Kiwanja Na. 1–149, kuanzia Agosti 13 hadi
📲 IBRAAH TECH ONLINE MEDIA
Habari • Michezo • Teknolojia • Burudani
August 19, 2026 at 7:49 AM
🔥 SHANGWE IRAMBA! 🇹🇿🙌

Wananchi wa Kijiji cha Makunda, Iramba, Singida, wamempokea kwa shangwe Waziri Mhe. Joel Arthur Nanauka wakati wa hafla ya utoaji wa mikopo kwa vijana na Mama Lishe.

📲 IBRAAH TECH ONLINE MEDIA
Habari • Michezo • Teknolojia • Burudani
August 18, 2026 at 12:09 PM
RAIS SAMIA AMPokea RAIS TSHISEKEDI ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempokea na kusalimiana na Mgeni wake, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo,
📲 IBRAAH TECH ONLINE MEDIA
Habari • Michezo •
August 18, 2026 at 12:59 PM
🔥⚽ WANAUME WA DAR WAMEINGIA KWENYE MFUMO!

Mtwara MC imeendeleza moto kwenye Michuano ya SHIMISEMITA baada ya kuichapa Dar City mabao 2-0 na kufikisha alama 6, ikiendelea kuongoza Kundi D.

⚽ Seth Kayombo
⚽ Kassim Salum Kass
📲 IBRAAH TECH ONLINE MEDIA
Habari • Michezo • Teknolojia • Burudani
August 18, 2026 at 8:22 AM
🇹🇿 HAWA WANYECHE AIPELEKA JINA LA TANZANIA KILELENI KATIKA GOFU NCHINI UGAND

📍 IBRAAH TECH ONLINE MEDIA
Habari • Teknolojia • Michezo • Burudani • Matukio

#IbraahTechOnlineMedia #HawaWanyeche #Golf #Gofu #Tanzania #Uganda #TanzaniaGolf #WomenGolf #SportsNews #GolfTournament #TanzaniaSports #Michezo
August 17, 2026 at 9:09 AM
Timu ya Bandari FC ya Championship imeonyesha wazi kuwa msimu huu wamekuja kwa kazi kubwa! 🔥💪

📲 IBRAAH TECH ONLINE MEDIA
Habari za michezo kwa wakati
August 17, 2026 at 9:39 AM
kiungo mshambuliaji Bakari Misimu, ajiunga Simba sc, kutoka Coastal Union.

#MICHEZO: Simba SC imeendelea kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu mpya baada ya kumtangaza rasmi kiungo mshambuliaji Bakari Misimu, mwenye umri wa miaka 18, kutoka Coastal Union. Kijana huyo amesaini mkataba wa miaka…
kiungo mshambuliaji Bakari Misimu, ajiunga Simba sc, kutoka Coastal Union.
#MICHEZO: Simba SC imeendelea kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu mpya baada ya kumtangaza rasmi kiungo mshambuliaji Bakari Misimu, mwenye umri wa miaka 18, kutoka Coastal Union. Kijana huyo amesaini mkataba wa miaka miwili na Wekundu wa Msimbazi, huku akitajwa kuwa miongoni mwa vipaji vinavyopewa nafasi ya kukua na kuisaidia timu katika siku zijazo.Misimu amejiunga na Simba akitokea Coastal Union, ambako alionyesha kiwango kizuri kilichovutia viongozi wa klabu hiyo. Usajili wake unaonyesha dhamira ya Simba ya kuwekeza kwa wachezaji vijana wenye uwezo wa kuendelezwa na kuwa sehemu muhimu ya kikosi cha kwanza katika misimu ijayo.
dreamstz.net
July 21, 2026 at 8:42 PM
Mwonekano mpya wa uwanja wa Uhuru

#dreamtz Muonekano wa Uwanja wa Uhuru ambao ulikuwa ukifanyiwa marekebisho makubwa katika maeneo mbalimbali kama vile vyumba vya kubadilishia nguo, vyoo, Majukwaa (yamewekwa Viti), Eneo la kuchezea (nyasi bandia). Aidha umewekwa taa na ukishafunguliwa utakuwa…
Mwonekano mpya wa uwanja wa Uhuru
#dreamtz Muonekano wa Uwanja wa Uhuru ambao ulikuwa ukifanyiwa marekebisho makubwa katika maeneo mbalimbali kama vile vyumba vya kubadilishia nguo, vyoo, Majukwaa (yamewekwa Viti), Eneo la kuchezea (nyasi bandia). Aidha umewekwa taa na ukishafunguliwa utakuwa ukitumika pia kwa michezo ya usiku.
dreamstz.net
July 20, 2026 at 10:47 AM
bags ~$2.5 million in pre-Series A funding from Centre Court Capital and Rainmatter by Zerodha

Bengaluru, October 24, 2025: Michezo Sports, an early leader in India’s sports infrastructure sector, today announced the close of a pre-Series A ~$2.5 million investment round by Centre Court Capital –…
bags ~$2.5 million in pre-Series A funding from Centre Court Capital and Rainmatter by Zerodha
Bengaluru, October 24, 2025: Michezo Sports, an early leader in India’s sports infrastructure sector, today announced the close of a pre-Series A ~$2.5 million investment round by Centre Court Capital – a VC fund focused on Sports and Gaming, as its lead investor.  The funding round also sees participation from Rainmatter, Zerodha’s investment arm. The investment marks the formal entry of venture capital into India’s largely unorganised sports infrastructure sector, signaling growing investor confidence in the country’s aspiration to host international sports events, such as the 2036 Olympics.
nexttech-news.com
October 24, 2025 at 7:50 PM