#Mshairi
🔴 HABARI MPYA - Mcanada Anne Carson ametunukiwa Tuzo ya Nobel katika Fasihi
Mcanada Anne Carson ametunukiwa Tuzo ya Nobel katika Fasihi
Mshairi Anne Carson ametunukiwa Tuzo ya Nobel ya Fasihi ya kifahari ya 2026. Joo la majaji limepongeza "kazi yake ya ujasiri na ya ubunifu ambayo, katika mazungumzo ya kuchekesha na mila ya kitamaduni,…
rfi.my
October 8, 2026 at 11:24 AM
Ngugi umendoka
Tuta kukumbuka
Umetufanya elimika
Maarifa imarika

Haujatuacha wapweke
Haujatuacha peke
Haujaacha makeke

Mwana wa afrika
Uliipenda hakika
Moyoni uliiweka

Mkuyu umeanguka
Sauti imesikika
Ndege wanaruka ruka

Buriani #ngugiwathiongo

#mshairi
May 28, 2025 at 8:23 PM
Moyo ona
Ona unavilenipeleka
Usiku kurupuka
Mpaka lini gagazika?

Moyo ona
Ishi sasa nyakati
Unichosha mikakati
Zilizopita zijazo nyakati

Moyo ona
Maisha si tu utuli
Tulia imba zabuli
Jifunze kukubali

Moyo ona, Ishi sasa

#Mshairi
April 22, 2025 at 11:11 AM
Tanesco mmezingua
Nifanya nilie gizani
Kama tola

Mmeniumbua!
Shindwa ona maufundi
Nala gizani

Mmenichukiza
Nala sioni chachandu
Pishi maufundi

Mtanza gizani
Chakula kipo mezani
Nala ka nipo kolokoloni

Mmezingua!, Umeme mmekata 😟

#Mshairi #swahili #poem
December 20, 2024 at 6:04 PM
We have a free tip today Thursday third July. Tipping Central is tiiping Sarafina Mshairi in the 18:05 at Newbury
Sarafina Mshairi
Free Horse Racing Tips
www.oncourseprofits.com
July 3, 2025 at 10:24 AM
The RemiX Morning Show "Tuesday 26 August 2025" The Ear Dr., Kamau( @kamaufranklin.bsky.social )Franklin, Renee( @rjohnston815.bsky.social )Johnston, Mshairi, Epiphany #BlackLiberationMedia www.youtube.com/watch?v=pBFn...
The Remix Morning Show
YouTube video by Black Liberation Media
www.youtube.com
August 26, 2025 at 4:29 PM
AUDIO | Vijana Barubaru – Just Send

Vijana Barubaru, an accomplished Afro-Pop duo formed by Kenyan artists Mshairi Spikes and Tuku Kantu, has recently released their new single titled “Just Send.” The track “Just Send” showcases Vijana Barubaru's signature energetic sound, combining modern rhythms…
AUDIO | Vijana Barubaru – Just Send
Vijana Barubaru, an accomplished Afro-Pop duo formed by Kenyan artists Mshairi Spikes and Tuku Kantu, has recently released their new single titled “Just Send.” The track “Just Send” showcases Vijana Barubaru's signature energetic sound, combining modern rhythms with memorable lyrics. Renowned for their lively performances, the duo captivates a diverse audience by emphasizing themes related to contemporary communication and the exuberance of youth.
ngomanagwa.com
January 10, 2025 at 1:48 AM
Le podcast de l'émission du lundi 18 novembre. Direction le Kenya et sa scène musicale très riche. 🇰🇪 J'espère qu'elle vous a plu. Bonne écoute à tous ! 😘
www.cfmradio.fr/emission-364...
Emission 364 Kenya
Direction le Kenya pour découvrir une scène musicale vivante et très riche. Dépaysement garanti ! 1 – 20 More Days feat. Spikes Mshairi – Nairobi 2 – Crystal Axis – Leopold 3 – Rish – The hate song...
www.cfmradio.fr
November 19, 2024 at 6:53 PM