#ardhi
February 22, 2025 at 4:31 AM
Thamani ya ardhi ilipimwa siku moja, malipo yakaja muda mrefu baadaye. Katikati, bei za ardhi na bidhaa zilipanda. Fedha iliyoonekana ya kutosha wakati wa tathmini ikawa haitoshi siku ya malipo. Fidia isiyozingatia mfumuko wa bei ni fidia iliyopunguzwa kimya kimya. #EACOPniTISHIO
October 4, 2026 at 6:45 AM
Well, this is actually legally distinct Yasan Ardhi soooo 😉
April 2, 2026 at 9:27 PM
Thamani ya ardhi ilipimwa siku moja, malipo yakaja muda mrefu baadaye. Katikati, bei za ardhi na bidhaa zilipanda. Fedha iliyoonekana ya kutosha wakati wa tathmini ikawa haitoshi siku ya malipo. Fidia isiyozingatia mfumuko wa bei ni fidia iliyopunguzwa kimya kimya. #EACOPniTISHIO
October 4, 2026 at 6:45 AM
Ardhi kwa mkulima si mali tu, ni benki, bima na pensheni kwa wakati mmoja. Ukimpa fedha taslimu badala ya ardhi, umembadilishia chanzo cha maisha cha kudumu kwa kitu kinachoisha haraka. Je, kweli tunaweza kuita hilo kuanza upya au ni kuanza kuanguka polepole? #EACOPniTISHIO
October 4, 2026 at 7:05 AM
Mabomba ya mafuta yanahitaji ulinzi, na mara nyingi hilo linamaanisha uwepo wa vyombo vya ulinzi vijijini. Wananchi wanahofia kuwa uhuru wao wa kutembea, kulima na kukusanyika utabanwa katika ardhi yao wenyewe waliyoirithi kwa mababu. Ardhi yetu, uhuru wetu. #EACOPniTishio
October 3, 2026 at 5:45 AM

Great match vs Tommy Ardhi and congrats to KAIZUL! #MYPW 🤼‍♂️
July 6, 2025 at 11:16 PM
#TavQOTD
From his mother, Ardhi: Her eyes, elemental magic, silver tongue, pragmatism, and knack for herbalism.

From his father, Elimu: His love of reading and history, battle IQ, his curiosity, and his agility.
May 4, 2026 at 6:01 PM
h e l l o C o r n ardHi I hello
November 16, 2024 at 4:58 PM
Serikali na EACOP zinasema fidia nyingi zimelipwa. Lakini kwa wananchi walioguswa, swali si kama fedha zilitoka tu, bali kama fedha hizo ziliwasaidia kuanza upya. Malipo yasiyorejesha maisha ni takwimu kwenye ripoti tu, si haki kwa familia zilizopoteza ardhi. #EACOPniTISHIOq
October 4, 2026 at 5:32 AM
Wananchi wanalalamika kuwa viwango vya fidia havikuendana na thamani halisi ya ardhi na mazao yao. Walipewa fedha ambazo hazitoshi kununua ardhi mbadala ya ukubwa ule ule. Ukipoteza shamba bila kupata jingine, umepoteza maisha yako ya kesho. Tunadai fidia halali. #EACOPniTishio
September 29, 2026 at 4:26 AM
Familia nyingi kando ya njia ya bomba zilizuiwa kulima mazao ya kudumu au kuendeleza ardhi yao baada ya tarehe ya ukomo kutangazwa, huku fidia ikichelewa kwa muda mrefu. Ardhi ipo, lakini haitumiki. Njaa na umaskini vinaingia kimya kimya majumbani. Tunadai haki. #EACOPniTishio
September 29, 2026 at 3:45 AM

Wananchi wengi walizuiwa kuendeleza ardhi yao baada ya tarehe ya mwisho ya tathmini, lakini malipo yalichelewa kwa muda mrefu. Kwa kipindi chote hicho hawakuweza kupanda mazao ya kudumu wala kujenga. Nani analipa hasara ya miaka hiyo ya kusubiri bila uhakika? #EACOPniTISHIO
October 4, 2026 at 6:30 AM

Je Wajua? Ibara ya 2(1) ya Katiba inasema eneo la Jamhuri linajumuisha pia sehemu ya bahari inayopakana na Tanzania. Hivyo kila mkataba wa uvuvi, bandari au utafutaji wa mafuta baharini unagusa eneo la Jamhuri. Katiba Mpya inatakiwa kuliweka sawa suala la Ardhi ya Tanganyika.
October 4, 2026 at 6:30 AM
Je Wajua?Ibara ya 2 inaunganisha Tanganyika na Zanzibar katika eneo moja,lakini Mzanzibari na Mtanganyika bado wanakutana na vikwazo vya kiutendaji wanapovuka upande mwingine.Katiba Mpya inatakiwa tatua suala la raia kuishi,kufanya kazi na kumiliki mali na ardhi ndani ya Jamhuri.
October 4, 2026 at 7:09 AM

Technology is bringing democracy closer to communities facing climate crises. In Zimbabwe, Courteney Mukoyi is using ARDHI, a civic tech tool that leverages satellite data to show the impact of drought and deforestation.
February 17, 2025 at 2:38 PM
Je Wajua? Ibara ya 2 ya Katiba ya 1977 inasema eneo la Jamhuri ya Muungano ni Tanganyika na Zanzibar pamoja na maji yake ya eneo. Ardhi na bahari hii ni urithi wa kila Mtanzania. KUONDOA CHANGAMOTO Katiba Mpya iweke wazi kuwa rasilimali za eneo hili ni mali ya wananchi wenyewe.
October 4, 2026 at 5:39 AM